Monday, 13 June 2011
some kiswahili (kenyan methali) The latest version
Posted on 06:51 by Unknown
Mwenda pole ,ako na speed governor.2. Fahali wawili wakipigana, wa Ikolomani ndio hushinda3. Usiuone wembamba wa reli ukadhani haiwezi n'golewa.4. Palipo na kuku wengi hapakosi mluhya5. Usipo ziba ufa ..mwisi iko chungulia6. Palipo na wazee hakuna technology7. Mtoto wa nyoka ni bureee buree tu buree kabisa!!8. Asiyekubali kushindwa ni Raila9. Chelewa chelewa, utahata news za
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment